
1. Tumechumbiana kwa kuvalishana pete 🙄😏(wewe ni single tu)
2. Ninaishi nae nyumba moja 😂😂(bado wewe ni singo)
3. Tupo pamoja mwaka wa nane huu 😢😉(Wewe ni Super singo)
4. Nimemchukulia Mkopo kwa jina langu (very stupidi singo)
5. Nawasiliana na mama yake, ananipigia na mimi nampigia (Karagabao)
6. Ninaishi kwake 😢😂(hongera kwa kujisogeza lakini wewe bado ni singo)
7. Nimezaa nae mtoto, ndiye baba/mama wa mtoto wangu lakini bado hatujaoana (Hongera kwa collaboration, lakini bado ni Double singo)
8. Ananiweka katika Posts na Status na anatumia picha yangu kwenye Dp yake (wewe ni Singo wa kiwango cha first class)
9. Hua naenda kumfulia, kumpigia pasi, kufanya usafi na kumpikia na yeye hua anakuja kwetu 😰 (end of discussion wewe ni singo mchuchumio)
10. Mmeoana lakini mnalala mzungu wa nne ama vyumba tofauti ama hakuna linaloeleweka (Single but married)
Volume iko 'OK' Kabisa!!
Ngoja umsindikize weee jamaa badae akupige matukio aoe mwingine ndio utakapo amini wewe ni singo kinganganizi
0 Maoni