Mapenzi huwa kuna mda yanaisha nguvu,

Related image

Mapenzi huwa kuna mda yanaisha nguvu,
Mda mwingine yanaongezeka nguvu
Haijalishi umedumu mda gani katika mahusiano yako au ndoa yako,
Haijarishi mnafuraha kiasi gani ila kuna mda hupungua na kuna mda huongezeka
.
Hiyo ni kitu kipo hakikwepeki kabisa hata ungepewa uishi na malaika
.
Kwahiyo unapaswa kujua tu ni namna gani utaishi katika mapenzi au ndoa yako inapokuwa ni kiangazi kipupwe au masika nk
.
Hakuna Limbwata au uchawi katima mapenzi, kufanya hivyo nikumfunga mtu na kushindwa kumpa uhuru wa nafsi yake.
.
Ukiona mtu unamuwekea libwata au uchawi wowote ili upendwe niwazi kabisa hupendwi na hakuna mapenzi hapo na haumpendi mtu wako.
Huwezi mroga mtu unayempenda kwa dhati
Ila unaweza jifunza kumpenda na kumjali ili uweze kuishi naye katika hali zote.

Chapisha Maoni

0 Maoni