Kuna hatua ukifikia inapaswa ubadilike
Kitabia hadi ki ratiba zako, ndio maana ulipokua mtoto ulinyonya vidole na badae uligundua kua huo ni ujinga ukaacha, ikafikia wakati ukawa unajua kua kwenye mapenzi ni dhambi uliogopa na hukutani kuingia, lakini badae ukatamani uwe kama baba na mama yako hapo ndio ukajua ili uwe hivyo lazima mapenzi yahusike ukayaanza uliamini kua kua kama baba na mama yako ni kua tu na mtu mmoja utakaye pendana naye.. Haya mambo ulizidi kuyachambua na kuyaelewa kadri umri ulivyozidi kua mkubwa sasa leo.. Wewe umeoa/kuolewa ni kwanini unaruhusu mtu wa jinsia nyingine unayemuita rafiki yako akuzoee hadi kuvuka mipaka? Anakuwa huru kukushika na kukutania utani usiofaa na wewe unachekelea tu!!!? Unakuta wafanyakazi ofisini wanashikana shikana na kutaniana na wengine wapo kwenye ndoa zao, je huoni kama unaruhusu watu waichezee ndoa yako? Wengine hata kwenda lunch hawawezi bila dada au kaka fulani na wakati wapo kwenye ndoa.

Unapokuwa online unachat je umejiwekea mipaka? Message zako na jinsi unavyochat na watu umeweka mipaka? Watu wamejikuta wanatoka nje ya ndoa sababu ya kujiburudisha kwa chatting zisizofaa na hadi wanajikuta wanaungana kihisia na mtu asiye mwenza wake. Unafika nyumbani upo busy na simu, hata mwenza wako huna muda naye tena, kwakuwa tayari kuna mtu umeconnect naye emotionally kupitia simu, hilo sio jambo jema kabisa. Weka mipaka kwenye ndoa yako. "ITUNZE NDOA YAKO"
https://www.facebook.com/allaboutrelationshipandlife/

0 Maoni